
Ole Gunnar Solskjaer
Solskjaer ambaye aliichezea Man United mwaka 1996 hadi 2007, atasaidiwa na Mike Phelan, Michael Carrick na Kieran McKenna.
Baada ya uteuzi wake, wakongwe mbalimbali wa soka wametoa mitazamo yao juu ya uteuzi wa mwanasoka huyo wa zamani ambaye ni raia wa Norway mwenye miaka 45.
Mwandishi wa habari za michezo wa Teregraph, Paul Hayward amesema kitendo cha klabu kumrejesha kocha Mike Phelan ni hatua nzuri na kitasaidia kurejesha morali kwa timu hiyo.
Good to see Mike Phelan back at Man Utd. Sacking him was David Moyes’ first mistake. Upset a lot of people at the club. Could be more influential than Solskjaer in settling players down.
— Paul Hayward (@_PaulHayward) December 19, 2018
Baadhi ya waandishi nao wametoa mtazamo juu ya rekodi za kocha huyo mpya wa Man United.
Solskjær and Phelan joint Prem League Managerial record: Played 38, Won 6, Draw 7, Lost 25. Goals for: 34. Goals against: 86. Big call from Utd
— Matt Critchley (@MattCritchley1) December 19, 2018
Viongozi wa serikali nchini Norway nao wametoa pongezi zao sambamba na wachezaji wa zamani.
Wow!
Ole Gunnar Solskjær the manager of Man UTD!!!!!
Am so proud of him!
I wish him all the best.
Norway will now delay Christmas, snow and skiing! https://t.co/IGH6W9koiA— Jan Aage Fjortoft (@JanAageFjortoft) December 19, 2018
FINALLY CONFIRMED! Great day for Norwegian football. Good luck keeping control of the Red Devils, @olegs26_ole
— Erna Solberg (@erna_solberg) December 19, 2018
Mchezaji wa zamani wa Liverpool John Arne Riise naye amempongeza Ole Gunnar Solskjaer na kumtakia kazi njema.
Solskjær new manager for Man U. That’s just insane!! Being a Norwegian and having the pleasure of playing with and against him, I am so proud of him! It’s a great opportunity for him as a manager. This shows everything is possible with hard work! I wish him all the best
— John Arne Riise (@JARiiseOfficial) December 19, 2018