
Makamu mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Fredrick Mwakalebela.
Mwakalebela amekutwa na makosa hayo baada ya kushindwa kutoa ushahidi wa juu ya tuhuma zake na bodi ya ligi, chama cha waamuzi na TFF kuwahujumu Yanga pamoja na suala la koenesha mkataba wa Morrison ambao si wa kweli.
(Taarifa ya kumfungia Mwakalebela iliyotolewa asubuhi ya leo tarehe 2 Aprili na kamati ya maadili ya TFF.)