Jumatano , 11th Dec , 2019

Klabu ya soka ya Yanga imevunja mkataba na mshambuliaji wake raia wa Uganda Juma Balinya. Sababu za kuvunja mkataba hazijawekwa wazi.

Juma Balinya

Juma Balinya alisajiliwa Yanga akiwa ametoka kuwa mfungaji bora wa ligi kuu ya Uganda msimu wa 2018/19.

Balinya ambaye aliifungia Polisi FC ya Uganda magoli 17, hivyo kuwa mfungaji bora.

'Tumefikia makubaliano na aliyekuwa mchezaji wetu, Juma Balinya kuvunja mkataba kuanzia leo tarehe 11/12/2019' imeeleza taarifa ya Yanga kwa ufupi.

Taarifa kamili ni kama inavyoonekana hapo chini.