Alhamisi , 18th Nov , 2021

Baraza la Madiwani wa Manispaa ya Morogoro imetupilia mbali hoja ambayo imewasilishwa na mmoja wa madiwani hao kuwa wauza chipsi nao wawe wanalipa ushuru ili kuongeza ukusanyaji wa mapato kwenye Manispaa hiyo.

Chipsi

Madiwani hao wamesema wananchi wanatafuta kipato chao hivyo wanatakiwa kupewa elimu namna ya kutunza miundombinu iliyopo kwenye sehemu wanazofanya shughuli zao ila sio kuwatoza ushuru.