
Mamlaka za kijasusi za Marekani zinasema kuwa al-Shabab wana majeshi yapatayo 10,000 ambapo licha ya kuendeleza mapambano ndani ya Somalia, kuna mipango ya kuishambulia Marekani .
Miaka miwili iliyopita kundi hilo lilifanya mashambulizi nchini Kenya katika ubalozi wa Marekani.
Haijajulikana ni wageni wanajeshi wangapi ambao Rais Biden ameamuru wapelekwe Somalia.