"Wadada wanapenda wanaume wanaolalamika" - Idris Picha ya Idris Sultan Mchekeshaji Idris Sultan anayewakilisha 'A Town' Arusha ametaja sifa za wadada wa Arusha kwa kueleza kwamba wanajifanya ma-gangster lakini wanapenda wanaume wanaolalamika. Read more about "Wadada wanapenda wanaume wanaolalamika" - Idris