Rwanda yadai wananchi wake kushambuliwa na DRC Jeshi la Rwanda limesema kuwa wananchi kadhaa wa Rwanda wamejeruhuiwa kufuatia mabomu yaliyorushwa mpakani na majeshi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Read more about Rwanda yadai wananchi wake kushambuliwa na DRC