Viongozi Simba, Yanga waitwa kamati ya maadili TFF
Afisa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba, Barbara Gonzalez atafikishwa mbele ya Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kutoa ushahidi wa shutuma anazodaiwa kuzitoa wakati akihojiwa na Kituo cha Radio nchini Afrika Kusini hivi karibuni.