Kampeni ya Namthamini 2022 kuzinduliwa Mei 27
Kampeni ya Namthamini kwa mwaka 2022 inatarajiwa kuzinduliwa tarehe 27 Mei, 2022 ikiwa ni muendeleo wake kwa ajili ya kuwasaidia watoto wa kike kusoma bila kikwazo katika shule mbalimbali Tanzania kwa kuwapatia taulo za kike.