Gari ya gharama Duniani bilioni 330
Kampuni ya Mercedes-Benz siku ya jana iliweka rekodi ya kuuza gari la gharama zaidi Duniani, kwa kuuza gari lake aina ya Mercedes-Benz 300 SLR ‘Uhlenhaut Coupe’ ya mwaka 1955 kwa kiasi cha dola milioni 142 sawa na Tsh bilioni 330.