"Tanzania kama Paradiso" Askofu wa KKKT, Dkt. Fredrick Shoo Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Fredrick Shoo amewataka watanzania kuvitunza vivutio mbalimbali vya utalii hapa nchini, kwa maendeleo ya sasa na ya Baadaye. Read more about "Tanzania kama Paradiso"