Rais Samia aridhia nyongeza ya mishahara kwa 23.3% Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameridhia mapendekezo ya nyongeza ya mshahara ikiwemo kima cha chini kwa watumishi wa umma kwa 23.3%. Read more about Rais Samia aridhia nyongeza ya mishahara kwa 23.3%