Rekodi iliyojificha kuelekea fainali ya UCL, 2022
Klabu ya Real Madrid ndio mabingwa wa kihistoria wa michuano ya Ligi ya mabingwa Ulaya wakiwa wanamataji 13 kibindoni na msimu huu wataumana na Liverpool ambayo ni timu ya tatu kwa mafanikio katika michuano hiyo ikiwa imetwaa mataji 6 katika historia yao na wababe hawa wanakutana tena.