"Sisi hatuzalishi mafuta"- Waziri Makamba

Waziri wa Nishati January Makamba

Waziri wa Nishati January Makamba, amesema kwamba bei za mafuta nchini inatokana na gharama mbalimbali ikiwemo zile zilizotumika kununulia mafuta, gharama ya usafirishaji na gharama za biashara yenyewe hapa nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS