Ancelloti avunja rekodi Uefa
Mkufunzi wa Real Madrid Carlo Ancelloti amekuwa kocha wa kwanza kufika fainali tano za michuano ya Ulaya (Uefa champions league) sambamba na kuweka rekodi ya kocha wa kwanza kufika fainali zaidi ya moja na klabu mbili tofauti kwenye michuano hiyo