Tunapaswa kuwafunga Madrid- Salah (Nyota wa Liverpool Mohamed Salah) Mshambuliaji wa Liverpool Mohamed Salah amewapa ujumbe wachezaji wenzake kwamba lazime waifunge klabu ya Real Madrid kwenye mchezo wa fainali wa Uefa champions league utakaofanyika jijini Paris mnamo 28,2022. Read more about Tunapaswa kuwafunga Madrid- Salah