"Rais ameona changamoto ya mafuta"- Majaliwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema kuwa serikali inaendelea kutafuta njia mbadala ambazo zitapunguza gharama ya maisha kwa Watanzania kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta katika soko la dunia. Read more about "Rais ameona changamoto ya mafuta"- Majaliwa