Panya road wajeruhi 19 Dar es Salaam

Baadhi ya wananchi waliojeruhiwa na Panya road

Vijana wanaodhaniwa kuwa ni Panya road wamewakata mapanga watu 19 katika mtaaa wa Mtongani, Kata ya Kunduchi mkoani Dar es Salaam, usiku wa kuamkia leo Mei 2, 2022.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS