Kijana mwenye watoto 47 adai kukosa mpenzi

Kyle Gordy

Kyle Gordy (30), kutoka nchini Marekani mwenye watoto 47 ulimwenguni kote ambaye ni mfadhili wa mbegu za kiume (Sperm donor) amesema kwamba ameshindwa kumpata mwanamke wa kudumu naye kwenye mahusiano kutokana na mtindo wake wa maisha.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS