Wanahabari watakiwa kupata elimu ya ukatili
Katibu Mkuu wa Katiba na Sheria, Bi. Mary Makondo amewataka wahariri na waandishi wa habari kupata mafunzo maalumu kuhusu kuripoti taarifa zinazohusiana na vitendo vya ukatili wa kijinsia katika jamii zetu.