Wadau wa Haki za Binadamu kuadhimisha miaka 10

Mratibu wa kitaifa wa Mtandao wa watetezi wa haki za binadamu Tanzania THRDC Onesmo ole Ngurumwa

Wadau wa haki nchini wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuungana na na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anaetarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 10 ya Haki za Binadamu nchini Mei 13, 2022, yakitarajiwa pia kuhudhuriwa na mabalozi kutoka nchi 15 wadau wa maendeleo pamoja n

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS