Ampiga Risasi binadamu akidhani ni Kiboko

Paul Hendrik van Zyl (77) ambaye ni raia wa Afrika kusini mwenye asili ya weupe  amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kumpiga risasi mwanamke mweusi Ramokone Linah aliyekuwa katika shamba la mwanaume huyo na kudai kuwa alidhani ni mnyama aina ya Kiboko.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS