Simba, Yanga zaondoka Dar es salaam baada ya dabi
Klabu za Karia Koo Simba na Yang azote zimeondoka Jijini Dar es salaam leo asubuhi Mei 2, 2022. Yanga imeemda mkoani Kigoma na SImba imeelekea mkoani Lindi, ikiwa ni maandalizi kuelekea michezo yao ya ligi Kuu inayofuata.