Tuwapongeze Waamuzi Ligi Kuu NBC Tanzania
Mwenyekiti wa Kamati ya Waamuzi, Nassor Hamduni amesema waamuzi wanastahili pongezi kwa kuchezesha vema bila kulalamikiwa kwenye michezo ya mwanzo ya mzunguko wapili wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania iliyoanza mzunguko wa 16.

