Aliyembaka msichana wa kazi kufikishwa mahakamani
Juhudi za kukomesha Ubakaji na udhalilishaji visiwani Zanzibar hatimaye Mshitakiwa Sadalla Juma Sadalla mwenye umri wa miaka 74 mkazi wa Bububu,Unguja,atafikishwa mahakamani Vuga,Unguja siku ya tarehe 07 Machi 2022 kwa makosa ya kumbaka msichana wake wa kazi mwenye umri wa miaka 15.

