Mchungaji akamatwa kwa kuwafungia walemavu ndani
Mchungaji mmoja aliyetambulika kama Curtis Keith Bankston (55) na mkewe Sophia Simm Bankston wamekamatwa kwa madai ya kuwafungia ndani walemavu nane wa akili ndani ya nyumba yao huko Georgia nchini Marekani.