Askari aliyesambaa ameshika fedha matatani
Mara baada ya picha za askari wa usalama barabarani kusambaa mitandaoni zikimuonesha akiwa ameshika fedha zinazodaiwa kuwa ni za rushwa, Jeshi la Polisi nchini limesema kuwa ushahidi utakapopatikana hatua zitachukuliwa.