Formula 1 yavunja mkataba Russian Grand Prix

(Mbio za Langa langa za Urusi msimu uliopita)

Kitengo cha kibiashara cha Formula 1 wamethibitisha kukatisha mkataba na Russian Grand Prix na kufuta mbio hizo za magari ya langa langa nchini humo kufuatia uvamizi wa kivita wa nchi hiyo kwa Ukraine.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS