Country Wizzy aagwa rasmi Konde Gang Picha ya Harmonize na Country Wizzy CEO wa lebo ya Konde Gang Music Harmonize amefanya 'party' kwenye mjengo wake wa Konde Village kwa ajili ya kumuaga Country Wizzy ambaye amesepa kwenye lebo hiyo. Read more about Country Wizzy aagwa rasmi Konde Gang