"Nina hamu ya kujichubua kuwa Mweupe" - Amber Lulu Picha ya msanii Amber Lulu Inaonekana rangi nyeupe imemvutia zaidi msanii Amber Lulu kuliko aliyokuwa nayo sasa baada ya kuweka hadharani kwamba ana hamu ya kujichubua ili kuwa mweupe. Read more about "Nina hamu ya kujichubua kuwa Mweupe" - Amber Lulu