Simba kuwakosa nyota 7, kesho dhidi ya Biashara

Kiungo wa Simba Mzamiru Yassini wa kulia ni moja ya wachezaji watakaokosekana kwenye mchezo dhidi ya Biashara United kesho

Kikosi cha mabingwa wa Tanzania bara Simba SC kitawakosa wachezaji takribani 7 kutokana na sababu mbali mbali ikiwemo majeruhi kwenye mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Biashara United utakaochezwa kesho Machi 4, 2022 uwanja wa Benjamini Mkapa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS