CR7 kuendeleza ubabe kwa Atletico Madrid UCL Leo?
Manchester United inataraji kushuka dimbani saa 5:00 Usiku wa Leo Jumatano 23, 2022 kucheza dhidi ya Atletico Madrid ya Uhispania kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza wa mtoano hatua ya 16 bora Michuano ya klabu bingwa Barani Ulaya.
