Maisha jela kwa kumbaka mtoto wa miaka 9

Mahakama ya wilaya ya Ludewa iliyopo mkoani Njombe imemhukumu kifungo cha maisha jela George Lupindu (19) mkazi wa kijiji cha Ngalawale kwa kosa la kumbaka mtoto wakike mwenye umri wa miaka 9.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS