Simiyu kuiingiza Tanzania 10 bora Duniani

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu David Kafulila

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu David Kafulila amesema mkoa huo utaiingiza Tanzania miongoni mwa Mataifa 10 yatakayozalisha pamba kwa wingi duniani mwaka ujao na kuyazidi mataifa kama Burkina Faso na Benin ambayo yanafanya vizuri katika uzalishaji wa pamba barani Afrika.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS