Zitto amuomba Rais Samia amsamehe Mbowe
Kiongozi Mkuu wa Chama Cha ACT Wazalendo Ndugu Zitto Kabwe amemuomba Rais Samia kuwasaidia kumtoa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe ili waungane naye katika kujenga taifa.