Pambano la Whyte vs Fury kufanyika April 23
Bondia Dillian Whyte amesaini mkataba leo wa kugombania mkanda wa WBC dhidi ya bondia Tyson Fury kwenye pambano la uzito wa juu duniani linalotarajiwa kufanyika April 23,2022 huku viwanja vya Wembley na Cardiff Principality vikipigiwa chapuo kuandaa pambano hilo.

