"Tangu Uhuru hakuna kama tetema" - Rayvanny Picha ya msanii Rayvanny Hitmaker wa wimbo wa Tetema na CEO wa Next Level Music Rayvanny anasema tangu Tanzania ipate Uhuru haijawahi kuwa na wimbo kama tetema katika ukanda wa Africa Mashariki. Read more about "Tangu Uhuru hakuna kama tetema" - Rayvanny