Cardi B amtunza Offset Bilioni 4

Picha ya pamoja Offset na Cardi B

Cardi B hataki masihara kabisa kwa Offset, unaambiwa kwenye kumbukumbu ya kuzaliwa kwa 'Baby daddy' wake huyo anayetimiza miaka 30 siku ya leo, amempa hundi yenye thamani ya Dola Milioni 2 sawa na Tsh Bilioni 4.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS