Kauli ya Ibraah kwa wanaomshambulia Harmonize

Picha ya Ibraah kulia, kushoto ni Harmonize

First Born wa Konde Gang Music Ibraah Tz anasema wanaomshambulia boss wake Harmonize hawana maana ila wanalengo la kumuharibia kwa kitu alichonacho na ni jambo baya kwenye muziki.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS