Amuua mume kwa kumchoma kisu zaidi ya mara 140 Joan Burke Mwanamke mmoja anayeitwa Joan Burke (61), kutoka jimbo la Florida nchini Marekani, ameshtakiwa kwa mauaji kufuatia tuhuma za kumchoma na kisu mume wake kwa zaidi ya mara 140 na kupelekea kifo chake. Read more about Amuua mume kwa kumchoma kisu zaidi ya mara 140