(Kevin Durrant akiwa na mpira na kujaribu kumpita mlinzi wa Detroit Piston)
Nyota wa Brooklyn Nets, Kevin Durrant ameiongoza timu yake kuibuka na ushindi wa alama116-104 dhidi ya Piston Detroit alfajiri ya leo kwenye muendelezo wa michezo ya mzunguko wa 27 wa NBA.