Barakah afunguka chanzo cha kuachana na Najma Picha ya Barakah The Prince na Najdattan Barakah The Prince anasema yeye na Najdattan wameachana kizungu kwa sababu sio maadui, wamebaki kuwa marafiki na bado wanaendelea kuwasiliana. Read more about Barakah afunguka chanzo cha kuachana na Najma