Kapombe atoa siri ya penalti Simba SC

(Beki wa kulia wa SImba SC, Shomari Kapombe akimiliki mpira)

Beki wa Simba, Shomary Kapombe amekiri penalti aliyopiga katika mchezo uliopita dhidi ya Asec Mimosas ni kama alijilipua tu kwa kujiamini kwa kuvaa ujasiri baada ya kubaini wenzake walikuwa na mchecheto kwenda kuipiga.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS