Kocha Allegri hasumbuliwi na matokea ya Juventus
Licha ya sare ya bao 1-1 dhidi ya Torino kwenye mchezo wa Ligi Kuu Italia Serie A’ jana usiku kocha wa Juventus Massimiliano Allegri amewasifu wachezaji wake kwa kupambana na anaamini timu inabadilika kadrid siku zinavyokwenda na wanaelekea sehemu nzuri.

