Klopp, Tuchel vita ya kijerumani fainali Carabao

(Kocha Thomas Tuchel wa Chelsea na Jurgen Klopp wa Liverpool)

Vilabu vya Chelsea na Liverpool vinakutana katika mchezo wa fainali ya Kombe la Carabao katika dimba la Wembley jijini london majira ya saa moja na nusu usiku wa leo kuamua ni nani atashinda taji la kwanza la nyumbani kwa mwaka 2022.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS