Alikiba amuachia ujumbe huu mtoto wake Picha ya msanii Alikiba na mtoto wake Keyaan Baada ya kutoka kwa taarifa za mke wa star wa Bongoflava Alikiba Amina (Aileen Alora) kudai talaka, msanii huyo amemtumia ujumbe mtoto wake Keyaan kwenye birthday yake kwa kumwambia asimsahau. Read more about Alikiba amuachia ujumbe huu mtoto wake