Hakuna sababu ya kumvua unahodha Maguire
Kocha wa Manchester United Ralf Rangnick amesema Harry Maguire ataendelea kuwa nahodha wa Manchester United lakini anapaswa kuwa bora zaidi, kikosi hicho cha mashetani wekundu kinashuka dimbani leo usiku majira ta Saa 5:15 wanacheza na Brighton mchezo wa Ligi Kuu England EPL.

