Fahamu madume 19 wa Nyuki wanavyouana kisa Malkia Nyuki Mwanasayansi wa Nyuki na mazao yake Ismail Selemani, amesema kwamba katika zoezi la kumpanda Malkia, jumla ya madume wapatao 19 huwania kumpanda na wote hupoteza uhai katika zoezi hilo. Read more about Fahamu madume 19 wa Nyuki wanavyouana kisa Malkia