Mbombo apania kufanya vyema dhidi ya Kagera Sugar Idris Mbombo Kuelekea Desemba 9, mwaka huu Azam ikitarajiwa kuwa mwenyeji wa Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Azam Complex, Dar, kila upande umepania kuibuka na ushindi. Read more about Mbombo apania kufanya vyema dhidi ya Kagera Sugar