Chuo cha Uongozi kujenga vijana madhubuti

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, ameelekeza kwamba chuo cha uongozi alichokizindua hii leo kikabadilishe mitazamo ya vijana kwa kuwajenga ili wawe viongozi madhubuti wenye kufahamu nidhamu na miiko yao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS